mjasiliamali14
Senior Member
- Jan 5, 2014
- 147
- 21
wakuu mm ni mkulima niliobobea natafuta soko la vitunguu vipjo vya kutosha tu kwa bei nzuri ambayo itakuwezesha na ww mjasilia mwenzangvu uwezi kujikwamua kimaisha,mzigo utakufikia popote ulipo ndani ya tanzania hii aliyetayari naomba anipm
wakuu mm ni mkulima niliobobea natafuta soko la vitunguu vipo vya kutosha tu kwa bei nzuri ambayo itakuwezesha na ww mjasilia mwenzangu uwezi kujikwamua kimaisha,mzigo utakufikia popote ulipo ndani ya tanzania hii aliyetayari naomba anipm
mimi nataka kwa mafungu
Hujasema wewe uko wapi Mkuu, twaweza hitaji mafungu
someni heading wakuu.. jamaa anauza kwa gunia
Biashara pm tulikataa. Mambo hadharani, unless ni haramu.
Ulikataa na nani, wengine huogpa ushindani si kila kitu haramu, watu dizain yako huwa si wanunuaji, na mara nyingi majukwaa yenu MMU, bisha tuchimbe profile yako humu. Kaa hivyo hivyo wenzako biashara zinaendelea huko PM
Kwa hasira za fasta hivi huuzu ng'o!
unauzaje gunia na lina uzito gani?namaanisha lina kilo ngapi za vitunguu?
Unauza gunia sh ngapi?
pls weka bei basi,kama ni kwa gunia au kisadowakuu mm ni mkulima niliobobea natafuta soko la vitunguu vipo vya kutosha tu kwa bei nzuri ambayo itakuwezesha na ww mjasilia mwenzangu uwezi kujikwamua kimaisha,mzigo utakufikia popote ulipo ndani ya tanzania hii aliyetayari naomba anipm
Machozi ya samaki, si nimesema wewe si mnunuaji, kushabikia kutokuuza hapa kunatoka wapi, teteteh by the way mimi sio muuzaji wa vitungu mi zangu mashamba ya miti njombe karibu uwekeze acha kushinda MMU haikuzi kipato.