Plot4Sale Nauza viwanja bei nafuu-Mwanza

Plot4Sale Nauza viwanja bei nafuu-Mwanza

kinehe

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Posts
205
Reaction score
198
Nauza viwanja bei poa, vipo eneo panaitwa Nyanguge, ni km 30 kutoka katikakati ya jiji la Mwanza(dakika 20-25) eneo linafaa kwa ujenzi/ufugaji, mita 110, kutoka barabara kuu ya Mwanza-Musoma, cha kwanza kina ukubwa wa 50x48( mil 2.8) cha pili ukubwa wa 104x32(mil 3.8) nichek pm tufanye biashara.
 
Huo ukubwa ni sentimita,mita au kilomita?
 
hyo 50x48 ni metre?? na je una hati?? usinambie nkufate pm
 
Ni fursa adhimu hiyo...cha msingi ni kwenda kujiridhisha physically ili maswali yaendane na unachokiona.
 
Nauza viwanja bei poa, vipo eneo panaitwa Nyanguge, ni km 30 kutoka katikakati ya jiji la Mwanza(dakika 20-25) eneo linafaa kwa ujenzi/ufugaji, mita 110, kutoka barabara kuu ya Mwanza-Musoma, cha kwanza kina ukubwa wa 50x48( mil 2.8) cha pili ukubwa wa 104x32(mil 3.8) nichek pm tufanye biashara.
Vimepimwa?
 
magu uko unauza kwa bei iyo wakati nikienda ilalila, shibula, kisesa,nyamhongolo,busweli,sawa napata miguu 50 kwa 50 kwa bei cheee milion mbili tu
 
Hauko serious ina maana nikija na Tolu kuhesabu unatang'ang'ania mjomba wako Emolo ahesabu au?
Point of correction, nmeenda site kujiridhisha, hatua hzo- zina ukubwa sawa na mita.
 
Sasa hapo si ungesema UNAUZA KIWANJA MAGU maana Nyanguge haiko Jiji
 
Back
Top Bottom