Vimepimwa?Nauza viwanja bei poa, vipo eneo panaitwa Nyanguge, ni km 30 kutoka katikakati ya jiji la Mwanza(dakika 20-25) eneo linafaa kwa ujenzi/ufugaji, mita 110, kutoka barabara kuu ya Mwanza-Musoma, cha kwanza kina ukubwa wa 50x48( mil 2.8) cha pili ukubwa wa 104x32(mil 3.8) nichek pm tufanye biashara.
Hauko serious ina maana nikija na Tolu kuhesabu unatang'ang'ania mjomba wako Emolo ahesabu au?Hatua za miguu za mtu mzima