Plot4Sale Nauza viwanja viwili vya heka moja moja Dar

Plot4Sale Nauza viwanja viwili vya heka moja moja Dar

Joined
Aug 20, 2016
Posts
9
Reaction score
2
Goodmorning...

Kama Tangazo linavyojieleza hapo juu, nauza viwanja vyangu viwili ambavyo vyote vipo wilaya ya Kinondoni mkoa wa Dar es salaam.

Kiwanja kimoja kipo kata ya Goba ambacho ukubwa wake ni hekari moja, kingine kipo Madale Kisauke nacho pia ni hekari moja.

Bei za viwanja vyote ni milioni 60, nikiwa na maana kila kiwanja nauza kwa milioni 30.

Viwanja vyote hivi vipo karibu na huduma zote za kijamii kama vile maji, barabara na umeme.

Mazungumzo yapo kwa mtu atakayekuwa tayari.
 
Goba kubwa sana
Je hilo shamba lina hati?
 
Hekari =/= ekari, hakari ni 100m x 100m,ekari ni 63.6 x 63.6m, sidhani kama vyako ni 100m ka 100m
 
Back
Top Bottom