Plot4Sale Nauza viwanja vyangu vilivyopimwa Madale Mivumoni kwa bei nafuu

Joined
Aug 20, 2016
Posts
9
Reaction score
2
Habari zenu ndugu zangu mabibi na mabwana, matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vizuri kwa uwezo wake aliyejuu.

Napenda kuwahabarisha kwamba nauza viwanja vyangu ambavyo vipo kata ya Wazo kitongoji cha madale mivumoni.

Jumla ya viwanja vipo kumi na tatu(13), vyote vina nyaraka muhimu ikiwemo hati ambayo ipo kwenye process ardhi.

Nikiwa na maana, endapo mtu atanunua, hati itatoka kwa jina lake, nimeambatanisha na mchoro wa viwanja husika kwenye jukwaa Hili.

Bei zimetofautiana kulingana na ukubwa wa eneo kama ifuatavyo :

1600sm (40*40) = 35milioni(Mazungumzo yapo).

800sm (20*40) = 25milioni (Mazungumzo yapo).

Kwa walio-serious wanione PM
 
Asante kwa taarifa hz.
Je kuna UMEME?
Je kuna MAJI?
Maeneo Hayo mkuu
 
huko mivumoni si ndyo alikonunua harmonize

vp kiwanja cha 6ml siwezi pata
 
Tupe distance kutoka wazo kiwandani au umbali kutoka barabara ya tanroads ile inayoenda kuunga rami ya Goba
 
Hizi plot bado zipo mkuu, ni umbali gani kutoka wazo,?

izi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…