Plot4Sale Nauza viwanja vyangu vinne.

Plot4Sale Nauza viwanja vyangu vinne.

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Viwanja vinauzwa maeneo ya Kihalaka Mapinga. Eneo Nizuri sana kilometa 5 kutoka barabara ya lami. Ukubwa vyote ni sqm 4100 kuna banda la mita 30x 10, vyumba ya vyumba 3, store, jiko la nje, kisima cha maji. Umeme wa Tanesco na bomba la maji vinapita jirani barabarani. Ni eneo karibu na kambi mpya ya jeshi inapojengwa na karibia na ukumbi mkubwa wa KKKT.
No 18 mpaka 21 sqm ni elfu 20000/=
248f5415074d50e0e128cdc81de27e33.jpg

Contact 0688300088

Samsung SH 8 Mobile Traveller
 
umbali wote huo bado sqm 20,000
Wewe hata mawazo huna yakuwa nakiwanja unategemea kwa ufukara wako utakuta kiwanja samora??kaa hivyo hivyo nakuwaza umbali watu wapo bagamoyo'kibaha sembuse mapinga nimekuweka kiporo najua utakuja siku nyingine.

Samsung SH 8 Mobile Traveller
 
Wewe hata mawazo huna yakuwa nakiwanja unategemea kwa ufukara wako utakuta kiwanja samora??kaa hivyo hivyo nakuwaza umbali watu wapo bagamoyo'kibaha sembuse mapinga nimekuweka kiporo najua utakuja siku nyingine.

Samsung SH 8 Mobile Traveller
nikikujibu ntapata aibu.
 
Duuh, aisee! Usiuze vyote mkuu, huyu Magu mwisho ni 2020 vumilia tu, ni mapito tu haya...

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 
Ukitoka Bunju baada ya daraja tu unaenda kushoto upande wa bahari ndiyo mapinga kihalaka
Bado sijawelewa, nikitoka bunju upande wa kushoto upande wa bahari? Ukienda kushoto c unaenda Vikawe?
 
Huyo jamaa Anayeuza viwanja hajui eneo kabisa, inawezekana naye amesimuliwa tu.....
 
Bado sijawelewa, nikitoka bunju upande wa kushoto upande wa bahari? Ukienda kushoto c unaenda Vikawe?
Naomba unisikie kwa makini....."Ukiwa unatoka Bunju B, unaelekea mapinga kuna daraja kubwa kuna kituo cha mali asli huwa wanakamata wanao beba mkaa sasa baada ya hilo daraja upande wako wakulia kuna barabara inaeleke kulia ndiyo sehemu inaitwa kihalaka sasa ndugu yangu BARRY naona upuyanga au dar haujui vizuri uliza tukwambie wazawa.
 
Back
Top Bottom