Plot4Sale Nauza viwanja vyangu viwili Goba

Mojay

Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
38
Reaction score
19
Viwanja vipo goba tegeta A, karibu na kwa madawa.

Ukubwa ni 20/22m na kingine ni 30/20 vyote ni sh 13m lakini maongezi pia yapo.

Barabara inafika mpaka hapo, ujirani ni mzuri na mahitaji yote yapo.

Mawasiliano 0767507487.








 
vyote kwa pamoja mil 13 ama kila kimoja kinacost mil 13
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…