Nauza vyombo vya ndani kwa anayetaka kuanza maisha

Kununua kitanda used ni umasikini.Hicho kitanda vunjavunja wape mama ntilie wapikie mihogo
 
Sasa wewe mji umekushinda unaukimbia, je sisi tuliozoea kuamshwa na ndege tutaweza?
 
Kununua kitanda used ni umasikini.Hicho kitanda vunjavunja wape mama ntilie wapikie mihogo
Vingine vimeshafanyiwa makwichikwichi ya hatari unajitafutia balaa kulala kwenye mashahawa ya wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…