INAUZWA Nauza WANHOO toyo bei ya kutupa

INAUZWA Nauza WANHOO toyo bei ya kutupa

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
8,328
Reaction score
7,784
Habari wakuu,

Natupa wanhoo toyo kwa bei ya sh 1.7m only. lina tatizo la plate clutch tu, gear namba moja ina shida ila linaondokea gear number 2.

Nauza kwa kuwa naenda mkoani soon, nilikuwa natumia kusambazia vinywaji basi, now limekaa tu mwezi sasa.

Lipo GOBA njia nne.

IMG_20221208_125856.jpg
IMG_20221208_125908.jpg

IMG_20221208_125837.jpg
IMG_20221208_125719.jpg
IMG_20221208_125711.jpg

Aliye interested anicheck

0768000893

Asanteni.
 
Mkuu asante, ila huko mbali mnooo
 
Back
Top Bottom