Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Huna ndugu wewe...? Mpe hata ndugu yako bwashee atakushukuru, mpe hata baba yako.....utapata dhawabu.
mkuu, nyumbani ipo kubwa
ninauza hii ili ninunue freezer
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwani ndugu zako wote wanazo, hata jirani akapata kukushukuru..?
Mbona unalazimisha sanaKwani ndugu zako wote wanazo, hata jirani akapata kukushukuru..?