Nauza Wifi Bulb Camera

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2015
Posts
3,079
Reaction score
2,152
Ni Camera 2 MP
-Ina Wifi inayosaidia kukupa taarifa hata ukiwa mbali, endapo kamera itapata internet
-Ina record video na sauti
-Ina jizungusha kulia kulia na kushoto, chini na juu
-ina detect object
-inachukua matukia mchana na usiku
-ina sehemu ya kuhifadhi memory Card
-Ni rahisi kuifunga
Night vision
Rotation 360 Degree

BEI elfu 60 TZS
Dar es Salaam, kigamboni
Call
0718295182
0765505909

View attachment 2765022View attachment 2765021View attachment 2765019
 
Mzigo bado upo wa kutosha
Unaweza konect na simu hata ukiwa mbali
 
Kwa maeneo ambayo hiyo Wi Fi haisapoti, inakuwaje? Ufafanuzi tafadhali.
Kamera ina wifi inayojitegemea
Kinachohitajika ni kifaa kitakachoiwezesha camera kupata internet, iwe router au simu

haijalishi uko maeneo gani, kikubwa kuwe na Router yenye data
camera itawezeshwa kupata internet
na Utaweza kupata matukio ukiwa mbali kupitia apps utakayoifadhi kwenye smartphone yako
 
Kwa Dar Nakuletea ulipo
Kwa mkoani Tuwasiliane ili ikufikie kwa uaminifu mkubwa
 
Ni za wapi kama siyo AliExpress? Hata brand name hamna.
Kwani tunashindana kujua ni wapi nachukulia mzigo wangu
Ishu Ni kua kama unahitaji za Aliexpress, we Agiza kiasi unachotaka, hakuna wa kukuzuia

ila usinipangie bei ya kuuza eti sababu umeona sehemu wanauza kiasi fulani uje hapa unikadilie na kukosoa biashara yangu
 
Umemjibu vizuri sana. Kama ameona za bei rahisi akanunue huko na si kuja kuchafua biashara za watu. Wabongo ujuaji mwingi na ilihali hatuna tujualo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…