ni muda mrefu nime fikiria namna ya kuwa komboa wafugaji wa samaki namna ya kufanya samaki wapate oxgen ktk mabwawa ili wakue vzr na mfugaji apate faida kubwa.
sasa nimegundua njia rahisi itakayo fanya maji ya zunguke kwa njia ya windmill water pump.
pump itatumia upepo na ita kua na uwezo wa kuzungusha maji kuanzia lita 260 hadi 680 kwa dakika.
bei ni nafuu sana. mawasiliano ni
email: silverius6@gmail.com
simu: 0657139511
0768092950
Khali Mkuu,
sijaelewa kidogo, pump itakuwa inaongeza maji mapya kutoka kisimani au inazungusha yaliyomo ndani ya bwawa. Na oxygen inaongezeka vipi katika mzunguko huo.
pamp itakua ina vuta maji toka kisimani na kujaza bwawani pia yale ya kwenye bwawa yata vutwa na pump na kupelekwa ktk bwawa lingine then yaka rudi kwenye bwawa kwa gravity endapo unaona oxgen siyo ya kutosha ktk bwawa.
tambua kwamba maji yanayo tembea huwa na oxgen ya kutosha kuliko yalo tuama
asnte