Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,870
- 2,122
Ina subscribers 210,000.
Imeanzishwa 2018.
Ndani ya miaka 8 imeingiza USD 100,298
NakaziaSWALI MUHIMU CONTENT ILIKUWA ZA AINA GANI?
Hiyo ni lifetime earnings ila katuambia ni one week sijui
burudani, na mambo ya kijamii mzeeSWALI MUHIMU CONTENT ILIKUWA ZA AINA GANI?
pamoja mkuuUmeeleweka mjomba.. Channel Iko poa kwa earnings izo.. ngoja tutulie wenye mkwanja waje wapige kazi
burudani, na mambo ya kijamii mzeeContents gani mkuu unafanya?
Una maana gani mkuu?Ngoja mbugila waje.
Waje wenye uhitaji na hawana ujuzi wa kuanzisha ya kwao na kuikuza.Una maana gani mkuu?
Tshs: 258,283,308.17USD 100,298
2015 sio 2018 km alivyoandika red flag
mzee channeal imeingia mzigoni 2018 kufungua 2015 ni google account ndo ilifunguliwa huko! acha kujifanya una akili nyingi2015 sio 2018 km alivyoandika red flag
Mkuu unapofanya biashara jaribu kuepuka kutumia lugha ngumu kwa watu,we mkun%% ndo maana nimesema aje hapa anaejua naongea nini!! nimeongea kwenye uzi wangu kama huelewi kitu usilete upum%% hapa