Nauza YouTube Channel yenye 210,000 Subscribers - TSH Mil 1 Tu!

Hahaha slow slow basi toa maelezo vizuri usitumie hasira unafanya biashara hapa unajua mteja hatukanwi
Mteja huwa mstaarabu!! Sitaki kabisa mizinguo ndomaana mwisho wa uzi nimesema. Mteja anakuja kwa adabu kwa sababu ana uhitaji na kitu, hivyo nitampokea kwa adabu kwa sababu nami na shida na hela yake. Mtu akija kukuchafulia biashara yako kwenye uzi wako unatakiwa kumjibu kama alivyokuja
 
Ushauri wako ni takataka huu! Mteja ana adabu! maana nae ana shida na bidhaa! watu kama wewe hapa mmekuja kufanya fujo! na sitaki kabisa
 
Jibu kwa upole wewe unafanya biashara hautakiwi kutumia hasira mpaka ukishauza labda ndio unaweza ukarudisha mashambulizi ila sasa hivi bado haujauza kua mpole, unaemtukana labda ndio mwenye hio Million halafu unamtukana unafikiri atanunua?
 
Ushauri wako ni takataka huu!
Hii imenipa picha kua wewe ni mtu wa aina gani,pole sana kwa unayo yapitia,nimekupa ushauri kisha nikakwambia ''Huu ni ushauri tu unaweza kuuchukua au kuuacha'' ushauri wangu haukua ni amri kwako.
Mteja ana adabu! maana nae ana shida na bidhaa! watu kama wewe hapa mmekuja kufanya fujo
Unaweza kuonyesha hapa sehemu ambayo mimi nimefanya hiyo unayoiita fujo?
 
oyaaa niliweka raii mapemaa sanaa kwenye uzi huu kuwa kama huelewi kitu na hayo mambo achana nao! kuna uzi milioni 50 hapa JF, unakujaje hapa kuleta utumbooo, KUNA UZI MILIONI 50+ HAPAA JF!! UNAKUJA HAPA HUJUI HATA RPM NI NINI!! SI UNAKUJA KUFANYA FUJOOO!!!!!
 
nilikuomba ushauri mzee?
Naona umeshindwa kujibu maswali niliyo kuuliza,

JF is an open forums,ukisha weka bandiko hapa linakua sio mali yako tena bali ni mali ya JamiiForums na kila mtu anakua huru kuchangia,ndio maana ukisha weka uzi hapa unakua huna access ya kuudelete,

Ushauri wangu kama haukukufaa wewe basi utawafaa wengine au vizazi vijavyo,
hii ndio JF kunavitu watu hujifunza kupitia nyuzi za wenzao.
 
umemwambia ukwel, maana jamaa anayapuyanga yanamtoka. Au ana IQ ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…