Tason Malone
New Member
- Aug 30, 2022
- 1
- 1
EwallahSipigi hodi, naingia na Jiwe la Fatuma...
Jihadhari nisije kukuletea tuhuma...
Nimekuja kuamsha akili zilizo lala..
Ole wako nikuletee msala...
Ndani ya nyumba, nawakilisha...
Ukiingia anga zangu nahitimisha...