Navutiwa na Wanawake wengi ila sijui kwanini Kajala haingii Moyoni na Rohoni mwangu

Siku hizi umeacha kuvuta ile Bangi yetu ya Tunduma na sasa umehamia ya Longido nini Mkuu mbona hueleweki na kama vile tayari kuna ' Nyaya ' fulani katika mbichwa wako huo mkubwa kama Matairi ya Gari za Migodini zimeachana njia panda ya Kigogo?
Mtendee Bar Bado Hipo hapo Colombia?Vipi wale jamaa waliokuwa wanakaa njee Hapo Bado wapo?Ni muda atujaonana Ndugu yangu.
 
Pengine tunafanana mawazo mkuu 'BIG UP' mimi mwenyewe kuna watu hawanipendi na hakuna nilichowakosea na wengine wananipenda na hakuna kizuri nilichonacho hila still life goes on....
 
Vizur mkuu uzi wako ungekuwa ndio hii post wallah nakwambia usingekuwa dis-appointed na mimi wachana na akina kajala shusha nondo za uhakika...... kama nimekukosa nichukulie hivo hivo siko full package
 
Mkuu humpendi kwa kuwa hajawahi kukupigia simu na kukuambia wew ni mmoja kati ya mapacha wetu wa3 waliojishindia M20 BT siku akikupgia utampenda mwenyewe.
 
Sasa kama hadi napendwa na akina Jennifer Lopez na Beyonce Knowles Mimi huyo Kajala wenu wa nini? Kwanza najua Kajala ikitokea tu akaniona anaweza akanilazimisha afunge Ndoa na Mimi siku hiyo hiyo.

Leo Kazi ninayo hakyanani!
Aiseee ndio maana tulikumiss
 
Jf sihamii,,jf idumu milele
 
Tofauti yake na hao unaowana ni bora NDIYO UZURI WAKE!!
 
Sasa kama hadi napendwa na akina Jennifer Lopez na Beyonce Knowles Mimi huyo Kajala wenu wa nini? Kwanza najua Kajala ikitokea tu akaniona anaweza akanilazimisha afunge Ndoa na Mimi siku hiyo hiyo.

Leo Kazi ninayo hakyanani!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] heri ya mwaka mpya Gentamycine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…