Navutiwa sana na wanawake wenye Michirizi (Stretch marks)

Nikiiona hiyo michirizi huwa ninapagawa yaani hata sura simaindi! ... hapa nilipo ninajiuliza hivi ni mimi tu, au kuna msukumo wa kisaikolojia unaoongozwa na maumbile ya kibaiolojia ya binadam kiasi kwamba ni wengi wanaguswa?



CHANGIA HOJA BILA MATUSI PLEASE!
Copy to: Mshana Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…