Navutiwa sana na wanawake wenye “Stretch marks “

Kweli ni rahisi kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano lkn sio Wana jf..😂
tena wana JF ambao ni 27-35 hawa wanaweza kuwa na life span ndogo zaidi kutokea ktk human kind hahaaaaaa nahisi tuko na misongo ya mawazo mingi saaaana kiasi kikitokea chochote cha kukipa kichwa relief tunakipokea kwa mikono miwili hata kama kin maaafa au hakifai kwa maadili au sheria
 
Ndo mambo mbalimbali hayo
 
"Michirizi ya Utamu nyuma ya goti mie hoi na moyo hai sio toy"
Asante Mh Mbunge kwa hii mistari
Mwana FA Mabinti one of mafavourite kipindi hicho siku mtu aje atuchambulie wale mabinti waliotajwa mule wako wapi na wanafnyanini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…