Navutiwa sana na wanawake wenye “Stretch marks “

Niko zangu nasoma habari za yesu kuzaliwa sabab nimepanga kutofanya zambi tena kuanzia leo hii siku ya xmass, halafu gafla naingia JF nakutana na picha za misambwanda yenye stretch marks,hivi jamani mmeniamulia kabisa kunivuruga nisione ufalme wa mbingu? mana tayar nimejikuta nimeshafanya booking ya leo ucku kwa grace miuno feni.[emoji23][emoji23]
 
😳😳😳😳 kuna mamistari yanatisha jamani utadhani mtu kakatwa mapanga.
 
Lile jukwaa pendwa walifungue kwanza.
Kuna baadhi ya member walimkwaza Max, inasemekana hata baadhi ya screenshots za jukwaa lile inasadikika ziliwahi kuonekana huko mitaani na kwenye WhatsApp groups
 
Awe nazo pia awe na churaaaa!!!! Mamamamama[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Unabishi nn, kila siku "scripts" za vitoto vya chuo zinavuja mitandaoni, alafu sijui unaongea nn!

Duuh
 
Duh........hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…