Navutiwa sana na wanawake wenye “Stretch marks “

Wenyewe wameshakijua unachokitafuta
 
Mungu fundi sana linapokuja swala la Art ya Kumremba mwanamke hapo ndio nazidi kumkubali Mungu ameumba vitu Unique sana kwenye Mwili wa mwanamke
 
First time naziona hizi alama nikajua demu kawaka asee[emoji28][emoji1787]tena alivyo sema zina washaa hhhaa nikavaa na gloves za tanesco kabisaa kuzuia shoti za umeme
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...Kuna Muda zinawasha..Ila Kama unatumia mafuta Ngozi sio kavu hasiwashi..

Zinatokea Sana wakati mwanamke anabalehe (sio wote)...mwili unakuwa unatanuka Sana...hivyo zinatokea

Pia kubeba ujauzito..zinaweza zikatokwa nyingi Sana Tumboni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…