Navy Kenzo waachia wimbo mpya - Feel good

Inawezekana itakuwa nzuri ikizoeleka masikioni pangu ila kwa leo bado sijaisoma vizuri. Anyway, Navy Kenzo wapunguze uzungu kama wanataka kuliwin vizuri soko la bongo. Kamatia chini ilikuwa na kizungu ila kilichofanya ibambe ni chorus na beat kali.
 
Kibongo bongo sizani

Bongo ya enzi za Shaa anaimba swaga za kizungu sio enzi hizi za kizazi cha dot.com ambacho singeli inapigwa hadi disco ushuani .

Ngoma nzuri hii, hakuna cha kokoro wala kajiandae
 
Hii nyimbo ni type za kina majar lazar au david guiter wamechanganya na dancehall kule nanjilinji au songea hawawezi kuwaelewa
Major Lazer wanafanya mziki unaitwa edm, david guetta yeye pia anafanya aina ya mziki unaofanana na edm lakini sio per se edm, kwa bongo production ilivyo version ya edm ni singeli...ambayo ni uchafu mtupu, kwa kifupi Tanzania hakuna producer anaeweza kutengeneza mziki wa edm...ili unielewe google online seeb remix i.e i took a pill in ibiza seeb remix, compare na original yake, bila kusahau hymm ya coldplay seeb remix..utanielewa mkuu...
 
Wapenzi wa ngololo hapa hawatamuelewa. Maana mnapenda takataka kama wanjera nk nigeria singing style copy ila hii ukituleta wazee mitaa ya Kentucky lazima ule bata mpk asbh. Bravo Navykenzo
 
una uhakika mkuu? mbona nahreal/messein selekta hawana beat chafu kama producers wengine
 
Wapenzi wa ngololo hapa hawatamuelewa. Maana mnapenda takataka kama wanjera nk nigeria singing style copy ila hii ukituleta wazee mitaa ya Kentucky lazima ule bata mpk asbh. Bravo Navykenzo
huyu nahreel mbaya sana kwa beat na kuimba
 
Watz hawatakuelewa mkuu edm ni mziki wenye complications nyingi kupata santuri iliyosimama japokuwa kujaribu sio kosa
 
Mmezzoea video za mama kijacho sambusa na vibadia ulinituma udongo lkn nikakosa loll
 
Sidhani kwangu kama watakuja toa songi lingine litakaloiweka kando KAMATA CHINI.
Sijauelewa fulani huu wimbo ila kichupa kimesimama.
 
Wasanii wasiotegemea kiki hawafanyi fanyi wanafanya kaz..
Namkubali sana nahreel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…