Navyohitimisha na MONEY HEIST/ LA CASA DE PAPEL. Huu ndiyo mtizamo wangu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Ni tamthiliya ambayo ilikuwa na kisa kizuri ambacho naamini kama wangepatikana watu wenye ujuzi au uzoefu zaidi wangekiandikia na kukicheza vizuri zaidi. Pengine lugha pia inapunguza utamu kwa sisi ambao hatupendi kuangalia Series au Movie at the same time tunasoma subtitles.

Binafsi sipendi na inapunguza utamu.lakini kingine ambacho nlikiona toka mwanzo ni jinsi ambavyo wanajaribu ku i prolong hii series. Mimi binafsi naamini ilifaa iwe na Two Seasons zenye Episodes 12 kila moja then ingekuwa imeisha.

Seasons 4 sijaona lolote la maana zaidi ya maongezi tu ya muda mrefu na mambo ambayo unaangalia unaona ni events za kitoto ambazo zinapoteza uhalisia kwa kiasi kikubwa.

Hii ilinirudisha miaka ya 2000s nlipokuwa naiangalia LOST. Ilianza vizuri sana mpakaa baadaye walipoanza ilazimisha iwe ndefu ikapoteza msisimko wake.

Binafsi nimeanza kuangalia series miaka ya 90 nikiangalia VHS mzee alikuwa anakuja nazo toka ulaya na marekani.nlizipenda sana na kuwa mfuatiliaji since then.

Nina uzoefu kiasi na mara nyingi napenda kwenda deep ktk themes za series au movie nayoangalia.baada ya vizazi vingi vya series za Vampires na Wolves kiukweli Money Heist ilikuja na kitu cha tofauti kidogo. But natamani kama ingeandaliwa na mtu aliyeaandaa Breaking Bad au The Carnival, Rome n.k

Pengine wangeshirikiana watu kadhaa.Spain, Mexico,Korea etc wamekuwa wakijitahidi katoka soko la Films na Series. Lakini wanaachwa mbali sana na Zinazotengenezwa USA,CANADA,UK etc. Ingawa nazo nchi hizi wapo producers wa hovyo hovyo but bado kuna Tv Series nzuri from them kwa kiasi kikubwa.

Kwa maoni yangu at least kwenye season 2 au 3 walipaswa wawe wameimaliza hii Series.au pengine wangekuja na events mpya za maisha ya wahusika baada ya kutoka Bank au wengine wakiwa Jela.but kuendelea kutuweka ndani ya Bank ambako hamna jipya,hamna la maana ni kutuona sisi watazamaji ni vilaza.

Nawe una maoni yako ambayo nitayaheshimu.
 
Nakuunga mkono kwa asimilia 💯 hii series ni ovyo Sana yaani series nzima inaonesha ipo bank Bora hata iwe na matukio yakuvutia lakini hakuna wangejifunza kupitia "Prison break" pamoja na asilimia kubwa kucheza jela lakini kulikuwa na matukio ya kuvutia na kusisimua inayofanya mtazamo uwe na hamasa zaidi ya kuangalia.
 
Sure.... Imepoteza mvuto sana. Hamna la maana linaloendelea hata humo bank...imekuwa na utoto utoto mwingi na itapoteza sana watizamaji. Wangeimaliza mapema sana au wa develop stories nyingine.

Nakuunga mkono kwa asimilia 💯 hii series ni ovyo Sana yaani series nzima inaonesha ipo bank Bora hata iwe na matukio yakuvutia lakini hakuna wangejifunza kupitia "Prison break" pamoja na asilimia kubwa kucheza jela lakini kulikuwa na matukio ya kuvutia na kusisimua inayofanya mtazamo uwe na hamasa zaidi ya kuangalia.
 
Ndio niko S01E07. Mategemeo yangu yalikuwa nikifika japo E10 wawe wameshatoka hilo jengo.

Kumbe hawatatoka mpaka S04? Ngoja niangalie ustaarabu wa kuachana nayo tuu.
Unforgetable
 
Maliza hiyo one.hizo nyingine utakuja ona hazina jipya.utoto utoto tu.wanalazimisha iwe ndefu but haina sababu kwa kuwa hawana matukio ya maana tena.

Ndio niko S01E07. Mategemeo yangu yalikuwa nikifika japo E10 wawe wameshatoka hilo jengo.

Kumbe hawatatoka mpaka S04? Ngoja niangalie ustaarabu wa kuachana nayo tuu.
Unforgetable
 
Ndio niko S01E07. Mategemeo yangu yalikuwa nikifika japo E10 wawe wameshatoka hilo jengo.

Kumbe hawatatoka mpaka S04? Ngoja niangalie ustaarabu wa kuachana nayo tuu.
Unforgetable
Mzee Kingsman tukianza na Kingsman wewe mwenyewe Kingsman The Secret Service Mzee hiyo movie 1,2 & 3 ni moja ya my best movies of all time. Huwa naangalia tena na tena hasa hiyo Kingsman ya Kwanza.
 
Back
Top Bottom