Nawa mikono na hakikisha haujigusi sehemu za uso ili kuzuia maambukizi

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124


Wataalam wa Afya wamekuwa wakisisitiza umuhimu wa kunawa mikono kama njia kuu ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya Corona kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine

Tunaponawa mikono tunaondoa vijidudu kwenye mikono yetu kutoka kwenye sehemu mbalimbali tulizogusa

Mkono ambao huutumia kugusa usoni mara kwa mara na kuhakikisha hutumii kufungua milango, kubeba ama kupokelea vitu kutoka kwa wengine
 
Upvote 0
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…