The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Salaam wakuu,
Jamii Forum ina mambo mengi mazuri kuanzia mijadala ya siasa, makazi na ujenzi, hoja na habari, mahusiano, biashara nk nk.
Niweke wazi nimekua addicted na JF muda mwingi nipo JF hata wakati wa kutekeleza majukumu yangu najikuta nimechepuka niko JF, mke wangu ananilaumu muda wote niko jf simjali, wakati wa kula nakula huku mkono wa kushoto nimeshikilia simu nipo JF.
Hii sasa imekua ni addiction, naamua kuachana na jf kwarerini wote niwatakie pasaka njema.
Nitarudi baada ya dakika 15 🤣🤣🤣🤣