The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
🤣🤣🤣🤣Ndo shida ya kula ganja ambayo imeoteshwa juu ya kaburi la rasta
Mambo yapi mabayaUsitake tuseme mambo mabaya tena humu
Haka ka mtandao kana addiction balaaa... Kumbe siyo pekee yangu.Salaam wakuu,
Jamii Forum ina mambo mengi mazuri kuanzia mijadala ya siasa, makazi na ujenzi, hoja na habari, mahusiano, biashara nk nk.
Niweke wazi nimekua addicted na jf muda mwingi nipo jf hata wakati wa kutekeleza majukumu yangu najikuta nimechepuka niko Jf, mke wangu ananilaumu muda wote niko jf simjali, wakati wa kula nakula huku mkono wa kushoto nimeshikilia simu nipo jf.
Hii sasa imekua ni addiction, naamua kuachana na jf kwarerini wote niwatakie pasaka njema.
Nitarudi baada ya dakika 15 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2190544
Hapana tukio mkuu.Kama umepigwa tukio sema upate msaada😂😂...usilete visingizio
Pasaka njema mpendwa
Mkuu umesoma ukaelewa kabla ya kucomment ?Kama unataka kujiua usitumie sumu,kamba au kisu cha gharama.Na uhakikishe umechimba kaburi lako na uingie mwenyewe kabla haujayaomba maisha pooh! Bwana akurehemu!
Hatari sana mkuu, nilikua nimeaga ila nimeisharudiHaka ka mtandao kana addiction balaaa... Kumbe siyo pekee yangu.
Umeleta komedi,unakabidhiwa komedi.Upo baada ya dakika 15?Hapana tukio mkuu.
Mkuu umesoma ukaelewa kabla ya kucomment ?