Nawaalika katika sherehe ya mwaka mpya

Junior Rutashoborwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2019
Posts
228
Reaction score
210
Hi everyone in here,

Nianze kwa kuomba radhi kwa kuwashitukiza ktk hili. Nilipanga kuwataarifuni mwezi mmoja kabla ili mjiandae ila kutokana na majukumu ya kulijenga taifa ilishindikana.

Napenda kuchukuwa wasaa huu kiwaalikeni ninyi ndugu zangu ktk sherehe ya Mwaka Mpya. Familia yangu imeandaa party kubwa sana ila waalikwa ni wachache.

Mpaka jana usiku kuna watu 6000 wameconfirm kuwepo kwenye hiyo party. Lakini kwa bajeti yetu tuliyoweka tunahitaji watu angalau 10,000 hadi 15,000.

Sifa za wanaostahili kuwepo:
1. Uwe mtu yyte, jinsia yyte. Umri kuanzia miaka 18 na kuendelea.

2. Kwa raia Wa Tanzania, unatakiwa uje na kitambulisho cha NIDA. Wageni mje na vitambulisho vya uraia.

NB: Kutakuwa na mziki mnene kutoka kwa wasanii mbalimbali Wa Nyumbani.

Karibuni sana ndugu zangu, sherehe nahisi itafanyika kama sio uhuru stadium ntawapeni taatifa as soon as possible.

Duniani ni stand tu. Tusiishie kujenga tu tukasahau kuburudika.

Jambo Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…