Nawaambia kwa mara ya mwisho CCM siyo sawa na KANU, ZANU & Co.!

Nawaambia kwa mara ya mwisho CCM siyo sawa na KANU, ZANU & Co.!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Huo ujinga wenu wa kanu sijui zanu tulikuwa nao uliitwa TANU na tuliupiga chini mwaka 1977 na kuanzisha CCM yetu, hivyo CCM siyo zao la Mkoloni kama KANU au ZANU bali CCM ni kazi yetu wenyewe, tumeianzisha wenyewe, hivyo mambo ya kusema CCM itakufa kama Kanu yaishe kwani tulishaua TANU 1977, hivyo CCM ni yetu na siyo ya Muzungu kama kanu na nisisikie tena mkifananisha CCM na ujinga, ...
 
Tofauti ni ujinga wa wananchi tu.. Ccm inabebwa na elimu duni ya wananchi ambayo nayo ni zao na tunda lao but time will tell!
 
Huo ujinga wenu wa kanu sijui zanu tulikuwa nao uliitwa TANU na tuliupiga chini mwaka 1977 na kuanzisha CCM yetu, hivyo CCM siyo zao la Mkoloni kama KANU au ZANU bali CCM ni kazi yetu wenyewe, tumeianzisha wenyewe, hivyo mambo ya kusema CCM itakufa kama Kanu yaishe kwani tulishaua TANU 1977, hivyo CCM ni yetu na siyo ya Muzungu kama kanu na nisisikie tena mkifananisha CCM na ujinga, ...
Barbarossa mimi nilikuepo 1977 nikiwa kijana wa Tanu youth league. Naijua CCM vizuri. Kama si kushikiliwa na vyombo vya dola na especially state house basi ccm ni nyepesi sana. Mbinu yao ni kukumbatia vyombo vya dola
 
Hivi CCM ndio mtoto wa Ndoa ya TANU na bibi wa Kizanzibar ASP . Walikubalije kuolewa wanachama wale?
 
CCM KIBOKO ASIKWAMBIE MTU!
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Watengenezaji wa meli ya Titanic waliamini meli yao haiwezi kuzama,nadhani na wewe una mawazo kama yao.
 
kila mwanadam ana haki ya kuheshmiwa mawazo yake,
Umeongea tumekusikia.umetimiza wajibu wako kisheria.msalimie sichonje
 
Watengenezaji wa meli ya Titanic waliamini meli yao haiwezi kuzama,nadhani na wewe una mawazo kama yao.
Kweli itazama na hata sasa inastahili kuzama lakini haijapata mbadala wa kumzamisha
 
Sasa sisi wakenya huu ushenzi unatuambia wa nini? Siku za kusifia vyama viliisha Kenya tulipopata katiba mpya kijana. Vipi na mwenge pia ulikuwa wa TANU au ndo ulikuja na CCM? Akili maandas!
 
Back
Top Bottom