Barbarossa mimi nilikuepo 1977 nikiwa kijana wa Tanu youth league. Naijua CCM vizuri. Kama si kushikiliwa na vyombo vya dola na especially state house basi ccm ni nyepesi sana. Mbinu yao ni kukumbatia vyombo vya dolaHuo ujinga wenu wa kanu sijui zanu tulikuwa nao uliitwa TANU na tuliupiga chini mwaka 1977 na kuanzisha CCM yetu, hivyo CCM siyo zao la Mkoloni kama KANU au ZANU bali CCM ni kazi yetu wenyewe, tumeianzisha wenyewe, hivyo mambo ya kusema CCM itakufa kama Kanu yaishe kwani tulishaua TANU 1977, hivyo CCM ni yetu na siyo ya Muzungu kama kanu na nisisikie tena mkifananisha CCM na ujinga, ...
Kweli itazama na hata sasa inastahili kuzama lakini haijapata mbadala wa kumzamishaWatengenezaji wa meli ya Titanic waliamini meli yao haiwezi kuzama,nadhani na wewe una mawazo kama yao.