TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari JF,
Kuna watu hapa kijiweni wamenizunguka, mimi nilikuwa nawaambia kwamba uchumi wa Tanzania ni mkubwa kuliko wa Marekani wananibishia.
Ebu tuwekane sawa wale wabobezi wa maswala ya uchumi tuambiane ni vigezo gani vinatumika kusema kwamba uchumi wa nchi hii ni mkubwa kuliko wa nchi hile.
Tukumbuke miezi kadhaa kulikuwa na ubishani kati ya Serikali ya Tanzania kama sikosei na World Bank kuhusu taarifa za ukuaji wa uchumi, ila mwisho wa siku World Bank wakaonekana walikosea ku determine vizuri ukuaji wa uchumi.
Hapo inaonyesha kuna mambo mengi sana yanaangaliwa .
Ebu tupeane maarifa wadau kuhusu hili swala