Nawaambia uchumi wa Tanzania upo juu kuliko wa Marekani wananibishia

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari JF,

Kuna watu hapa kijiweni wamenizunguka, mimi nilikuwa nawaambia kwamba uchumi wa Tanzania ni mkubwa kuliko wa Marekani wananibishia.

Ebu tuwekane sawa wale wabobezi wa maswala ya uchumi tuambiane ni vigezo gani vinatumika kusema kwamba uchumi wa nchi hii ni mkubwa kuliko wa nchi hile.

Tukumbuke miezi kadhaa kulikuwa na ubishani kati ya Serikali ya Tanzania kama sikosei na World Bank kuhusu taarifa za ukuaji wa uchumi, ila mwisho wa siku World Bank wakaonekana walikosea ku determine vizuri ukuaji wa uchumi.

Hapo inaonyesha kuna mambo mengi sana yanaangaliwa .

Ebu tupeane maarifa wadau kuhusu hili swala
 
1.Uchumi ni uwezo wa mtu kuwa bahiri...kwahyo kwakuwa tz kuna mabahiri wengi akina mangi basi Tz tuna uchumi mkubwa kuliko marekani
2.Uchumi inatokana na kuchuma mboga mboga na Tanzania tunawazidi marekani kwa kulima michicha na kubandua mademu kwa ile style ya kuchuma mboga hivo Tz tunawazidi marekani uchumi.
 
 
Unajadili uchumi wakati na wewe hujui maswala ya uchumi,Sasa unabishana uchumi wetu upo juu kwa vigezo ambavyo na wewe huvijui...😜😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…