kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Nikiangalia haya mataifa yetu ya Afrika, Congo ni moja ya taifa lenye watu wanaojua kujiwekea malengo makubwa,kuyapigania ili wajigambe nayo.
Uganda na Kenya pia kuna watu wa aina hii,ingawa vipaji sio vingi kama Congo.
Nchi kama Zimbabwe, Zambia na Malawi ni nchi za watu wasio "wabishi" na wepesi wa kuridhika ijapo nchi kama Zambia ina vipaji vingi vya mpira.
Kama ungeniambia niishauri timu yangu,ningetamani sana ichukue wachezaji Congo na Zambia kuliko hizi nchi nyingine,sijui Ethiopia, Botswana au Afrika kusini. hizi nchi mbili pekee kusini mwa jangwa la Sahara ndio zina vipaji vya ukweli. Zaidi ya hapo ni bora kwenda nchi za magharibi au angalau Angola.
Hata kimikoa kwa nchi yetu sehemu ya Kigoma ina vipaji vikubwa sana. Kwa hiyo Kigoma, Burundi na Rwanda ni eneo zuri la kupata vipaji. Achana na Sijui usheli sheli, Madagascar na vitu kama hivyo.