Nawaandikia dada zangu wapendwa.

Hahahahaha! ngoja niende lunch kwanza. Kwa hiyo inakuwa kama jabulani siyo? Manake inawapa shida sana magolikipa eti!!
Mkuu, na mimi nimerudi lunch, sasa tulikuwa tunaongelea nini tena vile??

,.........ahaaa! jabulani, ndio!magolikipa hawaoni ndani, huwa zinabaki kama pete!!! na huwa wanajua hii mbichi mbichi na wanakaa kimwa!!
Tuseme ukweli kabisaaa! hata huyu mchumbangu tulianza kula peku kwa mtindo huo!~
 
Nimerudi mwanzo,kama hujaoa? ruksa kufanya na walioolewa?
 
Nimerudi mwanzo,kama hujaoa? ruksa kufanya na walioolewa?
Kamanda hebu angalia nilichoitendea hii yuziful research yako:
The Following User Says Thank You to Bigirita For This Useful Rearch:

Chrispin (Today)​
 
Sasa hapa mbea nani kama kweli we "huvui" na "umesikia kwa watu wala hujadhibitisha" then unatuletea hapa!!
Great thinker at work!
Hapa hommie naona kama nakuelewa kwa namna hii:
Kwa hiyo umbea ni kusikia, na kutangaza kabla ya kuthibitisha? Ahaaaaaaa!
 
Hapa hommie naona kama nakuelewa kwa namna hii:
Kwa hiyo umbea ni kusikia, na kutangaza kabla ya kuthibitisha? Ahaaaaaaa!
Hapa ndipo tunaporudi kwenye maswali ya msingi, Kabla ya kuchangia hii topic, great thinkers walimuuliza tolu, Umetoboa ndomu wapi na lini kwa dada zetu hawa?

Akakimbia swali, sisi tukajua huu ni umbea from the start!! Angesema nimesikia na nimethibitisha, nimetoboa na hajajua (hata ingekuwa kwa my wifey wake)
 
Hapa hommie naona kama nakuelewa kwa namna hii:
Kwa hiyo umbea ni kusikia, na kutangaza kabla ya kuthibitisha? Ahaaaaaaa!
huyu kimey naona anataka kudandia kitu wakati kimesimama wima hajui madhara yake nilichoandika kakibadilisha halafu anajifanya great thinker namuhurumia hajui halitendalo
 
Nimekusomwa mpwa,
Mie sifanyi hivy ila nimefanyiwa na dada mmoja, yeye kaivuta kwa makusudi katikati ya safari, nikaamua nisamimishe gari ghafla na kushuka... siku hizi hakuna wa kumwamini jamani

By the way, Asante
 
Sio hivyo banaaa..wanatoboa condom wapate mautamu ya kula jino kwa jino na nyama kwa nyama...si unajua inavyokuwaga tamuuu
Kwahiyo ukipata ugonjwa wa zinaa au ukimwi nao unakua mtamuu au? Ni suala la kutumia hiyo kinga kwa usahihi iwapo hujaoa/kuolewa na kama umeshindwa kujizuia. Vinginevyo huo ni upumbavu na ujinga. Sijui muhusika wa tendo hilo atakuwa anamkomoa nani?
 
huyu kimey naona anataka kudandia kitu wakati kimesimama wima hajui madhara yake nilichoandika kakibadilisha halafu anajifanya great thinker namuhurumia hajui halitendalo
Talking with experience.............eh vp ulijisikiaje ili niwe mwangalifu?
 
Nimekusomwa mpwa,
Mie sifanyi hivy ila nimefanyiwa na dada mmoja, yeye kaivuta kwa makusudi katikati ya safari, nikaamua nisamimishe gari ghafla na kushuka... siku hizi hakuna wa kumwamini jamani

By the way, Asante
Kakague,
Ma-experience haya ndo tunayataka sasa! OK, wazee Lojistiksi take note of that!
 
hehehehe wapo katika kampeni za kumuamsha invizibo. jana kuna mmoja kapelekwa segerea wiki mbili bila tahazari
tunakusoma!!! it wont get out of hand! Ma-MOD tupo tunawatch kwa karibu!
 
Si utani. Unaliona hili vuvuzela la kumuamsha Invizibo hapa chini? Hakyanani labda awe na hangover!! Kuna mtu anaenda lupango muda si mrefu...

Acha niisepe hii sredi mpaka itulie isije ikapigwa fomesheni ya 4-4-2 tukachanganywa mpaka wagongaji wa senksi. hehehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…