Nawaandikia Vijana Wenzangu Kwa Kuwa Nina Imani Mna Nguvu Ndani Yenu.

Ahsante kwa chakula cha akili, bandiko zuri. lakini naamini kila mtu ana njia zake na mapito pia, nitafanikiwa kwa kuufuta moyo na akili, si kwa kufuata sheria na kanuni za wengne
 
Ahsante kwa chakula cha akili, bandiko zuri. lakini naamini kila mtu ana njia zake na mapito pia, nitafanikiwa kwa kuufuta moyo na akili, si kwa kufuata sheria na kanuni za wengne
Hii si sheria mkuu ni chakula cha akili kama ulivyokiita, cha kuambiwa changanya na chako. Winners don't do different things, they do things differently!
 
mkuu ningependa kufanya ufugaji na kilimo unadhani ni ufugaji gani au kilimo kipi kitanifaa kwa mtaji wangu mdogo ? ingekuwa vizur Kama ungenimwagia nondo hapa from a to z mm ni mgen kweny masuala ya kilimo na ufugaji
 
Be strong mkuu naamini bado hujachelewa, ukimaliza mkopo anza kusave kidogo kidogo after months utakuwa umejaza kibaba. Wazo za kurudi shule si baya pia!

Jamaa kusevu siyo rahisi....kwa maisha yapi na hela ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…