Nawachukia wanaume wachafu

wanaume wasafi , wachunguze vizuri wana element za ushoga
 
Asante, nilikuwa nakuna kichwa hapa kutafuta jibu zuri la kumpa ila nilivyokutana na hii comment yako nimehairisha.
Wewe kwangu umejiwekea ratiba gani hadi mimi nijiwekee ratiba ya kufanya usafi kwako
 
Mkisema hivi basi kila mwanaume atajifanya mchafu ili mwanamke wake amsafishe ptuu acheni uchafu huko hovyoo
πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“ mdekie baharia ww acha uvivu.
 
Muoneshe mme au mpenzi wako the meaning of wewe kwake, ukifanya usafi na ukapanga vitu vizuri unaonesha umhimu wako wake. Note mimi ajifanyia usafi mwenyewe, mpenzi au mchumba tukutane lodge
Wewe kwangu umejiwekea ratiba gani hadi mimi nijiwekee ratiba ya kufanya usafi kwako
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ndiyo hapa nafurahi nyuzi za Mbatanzania nikiwa kongomani. Asanteni sana Mbatanzania kwa kunifanya nijifunze kutoka kwenu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] haya mutu ya Kongo, kwa hiyo upo Kongo?
 
Ulishindwa kuisimamia sehemu yako kwake mkuu.
 
Ulishindwa mkuu,
Endapo ungeamua kumbadilisha leo hii usingeandika uzi kama huu.
Wahenga wanasema kisicho chako sio riziki huenda ningemtoa kwenye ukiritimba ila kwa maana hajaniona angeenda kuoa mwingine hapo kingeniuma so ukiona mtu sio msafi kwa kitu fulani mwache tu nenda mpaka ukute mtu sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…