Nawachukia wanaume wachafu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wafanye wenye njaa ya ndoa
 
Wahenga wanasema kisicho chako sio riziki huenda ningemtoa kwenye ukiritimba ila kwa maana hajaniona angeenda kuoa mwingine hapo kingeniuma so ukiona mtu sio msafi kwa kitu fulani mwache tu nenda mpaka ukute mtu sahihi.
Hao ni wahenga mkuu.
Tuachane na wahenga turudi kwako,wewe unasemaje mkuu?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wafanye wenye njaa ya ndoa
Bellow 28 years old kila mwanamke hana njaa na ndoa but above that stress mtupu zinajaaa. I hope you under 20 years.
 
unatakiwa kujiongeza kidogo...akija anakuta boxer kama 10, soksi pea 10, mafyumu zile za laki tatu kama mbili...mitoko ya kileo.... maji ya kuoga kwenye beseni kama lote....deku wenzako hapa.....mwanaume matunzo!!

Sasa ulimsafishia au mlifanya Mambo yenu ivyo ivyo
 
Huyo ndio Husband Material, wasafi hawaoi kwasababu tayari maisha wanayamudu bila ya Mwanamke...
 
Siku zote huwezi kukuta mambo yapo sawa kama ulivyotarajia ila unaweza kuwa chachu ya mabadiliko ilipaswa umpe darasa nini afanye ili angalau siku nyingine ukienda geto kwake usikereke na hiyo hali ya uchafu.
Inaonekana hukumpenda kwa dhati.
 
Na akija kuoa mwingine nope kisisho riziki hakiliki
 
Na akija kuoa mwingine nope kisisho riziki hakiliki
Kwahiyo hukutaka kumbadilisha kisa atakuja kukuacha aoe mwingine??, kwanini utengeneze negative perception mapema??
Ungembadilisha tu hata mngekuja kuachana angekukukumbuka kwa wema uliomfanyia mwisho wa siku naye angekuja kuwa member hapa jf akutolee sifa
Unaweza kumpata msafi wa mwili na sehemu anayokaa ila sio msafi wa nafsi na roho, kwahiyo pia chukua taadhali usije ukahisi uliyemkuta msafi hawezi kubadilika baadae akaja kuoa mwingine
 
Aoe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…