NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Nimeanza kuona kama ni ugonjwa fulani hivi, nipo mikoa yenye baridi kwa asili huwa nikiamka naamka kwa kujikokota sana na hata ratiba za mazoezi muda mwingi napuuzia; inabidi nivute vute muda sitoki kitandani mpaka nikikaribia kwenda kwenye shughuli zangu.
Mikoa yenye joto ikifika tu hata saa 11 nakuwa active nimeamka sioni haja ya kuendelea kulala.
Mikoa yenye baridi nayoishi ni Mbeya na Iringa, mikoa yenye joto ni Dar na Dodoma.
Mikoa yenye joto ikifika tu hata saa 11 nakuwa active nimeamka sioni haja ya kuendelea kulala.
Mikoa yenye baridi nayoishi ni Mbeya na Iringa, mikoa yenye joto ni Dar na Dodoma.