Nawahi sana kufika kileleni natokaje hapa?

  • Thread starter Thread starter guest-1791802738
  • Start date Start date
Ishi umu hapa mkuu

Kingine, kuna ile technique unapiga pump ukianza kuhisi tu hisia za wazungu slow down, zikipotea endelea unakuwa kama unaanza upya hivi, hii unaweza tembea hata nusu saa.

Lakini for the long term treatment msikilize mkuu herikiel hapo juu[emoji3516]
 
1. Achana na porn
2. Kula vyakula vya asili
3. Kula milo miwili, achana na lunch utapunguza uzito na utaongeza pumzi ya kula mbususu
4. Kula michemsho, achana na vitu vilivyokaangwa ogopa mafuta
5. Bao la kwanza chomoa mwaga nje, itakuwia rahisi kuendelea
6. Chezea k, piga katerero, chezea simi zamosha kidole
7. Usirudie kujichua, fanya mapenzi mara mbili au moja kwa wiki, epuka uchu hakuna bingwa wa ngono na Omba Mungu akusaidie
 
Tatizo ni hizo kilo 92, hebu zipunguze kwanza.
Harafu endelea na mazoezi mepesi ,kutembea umbali wa nusu Saa,au kukimbia kadiri unavyoweza.
Muda wa bao,Kwa wastani ni dk 7, (kiafya) hizo ni nyingi sana kama mwanamke ameandaliwa vizuri na yeye akaonyesha ushirikiano.
Muda mrefu sana ni dk 30, hizo Sasa ni pale unakomoa malaya aliyekula fedha zako.
Vingine Sasa ni maswala ya saikolojia zaidi,..ukitaka kupiga bao, waza wanaokudai[emoji23][emoji23][emoji23]...,stimu inakata au inapungua unaanza upya,kama hudaiwi.,waza hata vifo vya ndugu zako waliotangulia[emoji24][emoji24] hapo utajikuta hata dk 20 zinaisha hujapiga bao...huku unabadilisha staili.
Hebu ishi humu,ukijumlisha na mawazo ya wadau hapo juu,hilo sio tatizo litaisha.
 
[mention]Kelsea [/mention] kitambi cha kufutia simu unakijua?
 
Ntafanyia kazi ushauri wako..
 
Nakubali kaka..
 
Hahaha Kwenye sex niwaze Wafu Sawa mkubwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…