Nawahi sana kufika kileleni natokaje hapa?

  • Thread starter Thread starter guest-1791802738
  • Start date Start date
Dah! Vijana wa Kitanzania muda mwingi akili inawaza tu kuchomeka, halafu pwaaaah pwaaaah!! 😃
 
Punyeto haina madhara yoyote tuache uongo

Mtu makini lazima apige punyeto ili kuondoa kukutana magonjwa na kutunza pesa za maendeleo na uwekezaji hasa kijana mwenye ndoto kubwa.
Nimeanza kupiga nyeto nina 13yrs mpaka leo nina 44yrs old na bado napiga nyeto, kilichopungua ni ratiba ya nyeto tu tangu nioe. Kiifupi kwenye mbususu sijawahi kukojoa chini ya 15m, tena nafanya kuvuta hisia nimalize endapo mwenza ameshafika uhuru peak, otherwise naweza kwenda mpaka 40minutes, sema nikishatoa wazungu uwezo wa kuunganisha bao papo hapo sijawahi kuwa nao since nianze kupiga mbususu, lazima nikae dakika kadhaa kwanza kuzitafuta hisia, wale wanaounganisha mabao nasikia mpaka matatu hapo ndo ninapo ona nimezidiwa nguvu za kiume, ila kwa usiku mzima kukiwa na dakika za mapumziko kama dem yuko vizuri (mtamu) basi mpaka bao 5 naweza nikaenda.


Mademu wengi niliotembea nao wakishakojoa tu wameshachoka hawataki tena,

Sasa sijui hao wanaopelekwa mpaka mabao matatu non stop wapoje?
 
Kweli Mkuu hata mirrad ayo amelizungumzia hili Jambo kuwa kijana anabidi kupiga nyeto na kusave pesa
 
We jamaa nimekufurahia kwa jinsi unavyo jielezea, simple but clear, unachekesha ila ujembe unafika. Otherwise sina ushauri
 
Tafuta mizizi ya msagatikivumba utanishuruku baadae
 
We jamaa nimekufurahia kwa jinsi unavyo jielezea, simple but clear, unachekesha ila ujembe unafika. Otherwise sina ushauri
Daah pole jombaa...ushauri wangu;
kufanya mapenzi muda mrefu sio ishu,ishu ni maandalizi wanawake tukiandaliwa vizuri ndani ya sekunde tayari tena kuna mwanamke mwingine kabla hujaingiza kashamwaga so kama shida yako ni hiyo jifunze kumuandaa mwanamke tune your mind set.Ni hayo tu kamanda..one love
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…