Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Mimi huamini watu wenye idea zinazofanana wakifanya kitu kinakuwa kikubwa sana. Ningependa member tuwe na sifa zifuatazo;
1. Asiamini katika kuajiriwa na kama ameajiriwa awe anaonyesha jitihada zinazoonekana kujitoa huko. Aamini kuajiriwa ni utumwa na binadamu hakuumbwa kuishi kwa kuajiriwa na imani hii isitokane na yeye kukosa ajira.
2. Aamini kutoka moyoni kwamba ardhi ni mali na utajiri wote hutoka huko.
3. Awe mtu honest na wa kuaminika.
4. Asiwe mtu wa kujihusisha na rushwa
5. Awe mtu aliye tayari kusimama upande wwa haki no matter what. Lengo la society ni kuboresha maisha yetu na ya vizazi vyetu.
Wenye sifa mnakaribishwa.
10/02/2014
Wakati naandika huu uzi, nilikuwa na wazo kwamba ni vizuri watu wenye mawazo yanayofanana tukafahamiana.
Mfano kazi yako, ulipo, jinsi, umri , elimu, professionals n.k. na data za kila mwanasociety zikawa available kwa wote.
Hii itasaidia sana, mfano mtu ukitaka mtu wa kuptner naye kwenye ufugaji wa kuku unachagua utayeona anakufaa kutoka ndani ya society. Au ukiwa unatafuta mfanyabiashara unaangalia profile ya mtu na mnaanza mchakato.
Inakuwa kama Bamboo network. Bamboo network ni mkusanyiko wa wajasiriamali wa kichina ambao hushirikiana kwenye biashara. Mtandao huu umedominate sana biashara South East Asia.
Pia baadae tukijuana vizuri tunaweza tukawa tunajiunga na kununua ardhi na kuwekeza. Hii itatusaidia sana. Kwanza tukiwa kikundi itakuwa rahisi kupata ardhi kuliko mtu mmoja mmoja. Pia wana society kwavile tunatoka sehemu mbalimbali na tunataarifa tofauti kuhusu ardhi itatusaidia kupata ardhi bora, kwa bei nzuri na tutaitumia vizuri zaidi.
Kwa sasa siko katika position ya kuorganise ila naona kuna memba hapa Akohi anaweza hii shughuli. Tumuombe atuorganise.
Hii kitu hadi ije ipate muelekeo itahitaji kazi kubwa na na uvumilivu mwingi. Lakini kwa vile tunaunganishwa na mawazo yanayoendana hamna kikwazo kitakuwa kikubwa kutushinda.
Msingi wetu ni kuwa na mawazo yanayofanana, maswala ya kuchangishana pesa yatakuja baadae na itakuwa kwa wanaotaka.
Motto wa Mossad unasema, "Where no counsel is, the people fall, but in the multitude of counselors there is safety".