Nawakaribisha kuunda secret society kama Freemasons

Kwa kuanzia asa long as ni secret society,there is no need to know each other,ila mambo yetu na muelekeo wetu,ndio utaonyesha nguvu tuliyo nayo.
Tunaweza kujuana kwa salam au kwa ishara fulani fulani.
Kwa mfano badala ya kusema 'au vipi' utasema 'au vop'
 
Mkuu red g naendelea kupata pm za namba za wadau.. soon group litakuwa online.. Woote mliotuma namba fanyeni subira kidogo angalau akidi itimie mijadala na michango moto moto ianze. Nafasi bado zipo nyingi mnakaribishwa
 

Wazo lako zuri, lkn mhh kwamba tunakuwa na salamu maalum..
 

Tutafanyaje mambo yetu bila kujuana? Tutawachaguaje viongozi wetu bila kujuana,mipango,mikakati n.k
Nalog off
 
tutafanyaje mambo yetu bila kujuana? Tutawachaguaje viongozi wetu bila kujuana,mipango,mikakati n.k
nalog off

basi tuwe tunakutana usiku wa manane,ktk maficho ambayo tutakubaliana
 
wazo zuri sana, lini 1st meeting inafanyika? count me in

mimi tayari ninalo jina la secret sosaiti yetu itaitwaje

i can also do some organization ya kuandaa pa kukutana na kadhalika...
 
wazo zuri sana, lini 1st meeting inafanyika? count me in

mimi tayari ninalo jina la secret sosaiti yetu itaitwaje

i can also do some organization ya kuandaa pa kukutana na kadhalika...

Safi mahesabu kwa utayari wako, mpaka sasa akidi bado haijakamilika .
Vp kama group ianze hivyo hivyo tukawa na mijadala ya awali....??

Red g tunaomba baraka zako..

So lianze????????????
 
Safi mahesabu kwa utayari wako, mpaka sasa akidi bado haijakamilika .
Vp kama group ianze hivyo hivyo tukawa na mijadala ya awali....??

Red g tunaomba baraka zako..

So lianze????????????
lianze tu mkuu, ni ngumu wote kuwa tayari kwa wakati mmoja.
 
Safi mahesabu kwa utayari wako, mpaka sasa akidi bado haijakamilika .
Vp kama group ianze hivyo hivyo tukawa na mijadala ya awali....??

Red g tunaomba baraka zako..

So lianze????????????


ni bora watatu walio tayari kuliko 100 wanajifikiria fikiria bado, halafu baadaye wanakuja kupngua wanabaki hao hao watatu.

au mkuu akidi inayohitajika ni ya watu wa wangapi?
 
Nilichogundua sasa mtoa mada ana lengo zuri sema ameshindwa kuweka maelezo sawa.

Tunaomba mtu mwenye kuandika vizuri asaidie kuweka sawa maelezo
 
hapa tunadanganyana huwezi kutumikia mabwana wawili kwa maana kama ukiamini kuajiriwa ni utumwa basi ni mlengo wa wale wanataka kutafuta mali kwa jitihada ili wawe matajiri lakini yale uliyoyataja baadae kama vipengele sio sifa za wasaka mali bali ni sifa za wanaharakati na ambao hawawezi kuwa matajiri. pambanua vizuri malengo yako
 
Wengi tunapenda kujiunga katika society hii nakushauri anzisha brog yako au group la whats up kama,huwezi niruhusu nitumie idea yako ili niweze kuanzisha blog hiyo.
 
Pamoja na utu uzima wangu hili wazo limekonga moyo wangu sana! Lichangamkiwe hili wazo!
 
kwa mara ya kwanza katika maisha yangu nimekutana na mtu mwenye mitazamo kama yangu.kaka na tufanye sasa.naamini inawezekana..0659942454-namba hiyo imesajiliwa kwa jina la kike ila mimi ni kijana wa kiume.
 
Mtoa mada shikamoo. Hili wazo ni chanya sana, tusianze kutafuta mapungufu ndani ya wazo, bali tuangalie namna bora ya kusukuma wazo mbele na mara likishatake off tunaweza kuanza maboresho taratibu huku mambo yakisonga. Red Giant, weka kanuni sawa ili gurudumu lianze kuzunguka. Nihesabu ndani ya Society hii pasi na shaka katika hali na mali. Wenye busara walishasema huko nyuma, "ukitaka kufika haraka nenda peke yako, lakini ukitaka kufika mbali nenda na wenzio". Twende sasa, shime shime kina baba na kina mama, mapambano na yaanze sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…