Nawakubali Sana Navy Kenzo!!!

Nasubiri KTMA-2016 Kwenye kategori ya TheBestGroup
ila mwaka juzi walionewa ile Tuzo walistahili kuchukua.
Ila walishinda Weusi.Nao Yamoto walitoka kapa.
kamatia chini-2016
 
Nahreel hz current best Producer East Africa "anakipaji tangia akiwa dogo kwaio nisawa kumuona sahv akivuna mafanikio na nategemea kuwaona mbali zaid..
#GoodMusicFamily
 
Si nahreel naskia baba yake ni Nimrod Mkono kwa hiyo inaonyesha hana njaa kabisa ndo mana kila kazi akifanya ina heat coz anafanya kitu kama hobby na sio for the sake of money. Na ukifanya hivo kitu chochote lazima ufanikiwe ila ukishaweka pesa mbele lazima ufeli.
 
Sidhani. Jamaa sio maasai boy kweli. Moran flan ivi amazing...#NavyKenzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…