BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 776
Kwa wale wapenzi wa business forum hawa jamaa ni walimu wazuri sana. Siku zote huwa wanasoma thread na kutoa ushauri accordingly. Haka kama haulewi kitu Voice or Reason na Babalao watakuelewesha taratibu na mpaka utaelewa.
Binafsi nashukuru and I am giving you big ups.
ameenhakika jamaa wanamchango mkubwa sana hapa jf.mungu awabariki.
Nampongeza pia Voice of reason japo sikumbuki kusoma threads zake sasa nitaanza kuzisoma.
Mimi Babalao Nimepokea pongezi hizi kwa mikono miwili lakini namuomba mwenyezi Mungu ili anipe unyenyekevu nisije nikavimba kichwa nikajiona ninajua kuliko wengine, falsafa yangu ni kuendelea kujifunza mpaka mwisho wa uhai wangu. Asanteni kwa kunipongeza naomba kwa wale mnaotaka tuonane ana kwa ana mje Chai Day tarehe 5/2/2011 nitakuwepo na nina vitu adimu nitakuwa navyo bila kusahau, nitakuwa na kitabu changu maarufu- Mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri. Nampongeza pia Voice of reason japo sikumbuki kusoma threads zake sasa nitaanza kuzisoma. Maoni yangu kuhusu JF ninapenda michango ya watu wote kwani hapa tunapingana bila kupigana tunaelimishana tunajenga urafiki na umoja pia tunapata burudani tosha na kukosoana pale ambapo mtu anapokosea haya ndiyo maisha. JF kuna vipaji vichwa BIG UP JF
Nauliza tu. U tajiri kiasi gani mkuu? Hizo mbinu umejaribu kuzitumia na ukaona zinafanya kazi? How valid and reliable is your book relative to our business environment?Mimi Babalao Nimepokea pongezi hizi kwa mikono miwili lakini namuomba mwenyezi Mungu ili anipe unyenyekevu nisije nikavimba kichwa nikajiona ninajua kuliko wengine, falsafa yangu ni kuendelea kujifunza mpaka mwisho wa uhai wangu. Asanteni kwa kunipongeza naomba kwa wale mnaotaka tuonane ana kwa ana mje Chai Day tarehe 5/2/2011 nitakuwepo na nina vitu adimu nitakuwa navyo bila kusahau, nitakuwa na kitabu changu maarufu- Mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri. Nampongeza pia Voice of reason japo sikumbuki kusoma threads zake sasa nitaanza kuzisoma. Maoni yangu kuhusu JF ninapenda michango ya watu wote kwani hapa tunapingana bila kupigana tunaelimishana tunajenga urafiki na umoja pia tunapata burudani tosha na kukosoana pale ambapo mtu anapokosea haya ndiyo maisha. JF kuna vipaji vichwa BIG UP JF