Nawakubali Voice of Reason na Babalao

Nimekupata ndugu. All the best
 
Ninawaheshimu sana JF members wote kwa michago yao hasa katika Business Forum, lakini pongezi za pekee ziwafikie waliotajwa katika thread hii kwa michango yao kwa kweli nimeelimika katika mambo mengi na ninaendelea kujifunza.

Mkuu MALILA na KANYAGIO najua tumewapa jukumu kubwa katika kuhakikisha tunavuka visingiti vyote vilivyopo mbele katika kufikia lengo kuu; naomba MUNGU awajalie Afya njema ninyi pamoja na familia zenu, nguvu na ari katika kutekeleza majukumu yaliyo mbele yetu.

"PAMOJA TUNAWEZA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…