Nawakubusha tu kua YESU aligawa MIKATE na kitoweo cha SAMAKI pia alisha wapa watu MVINYO

Sasa sisi uku chini ya jangwa la SAHARA UGALI NA MAHARAGE VIMETOKA WAPI?
Mkuu aliyekuzuia kula Mkate,samaki na divai ni nani?

Kwahiyo unataka kuwahoji watu wanaopenda kula Ugali maharage?Kama hawatendi dhambi na kuvunja sheria za nchi acha wale,na wewe kale ambavyo unaamini ni vizuri kwako
 
Na nakumbusha muujiza wa kwanza ni 'Mabalasi' ya Gambe. 🤗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…