johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Chadema ni ya wote!Wapambane na walicho chagua
Ingekuwa ya wote wangekuwa na subira ila maamzi ya wote yawapelekeChadema ni ya wote!
Wao wameitwa bungeni baada ya Katibu mkuu kupeleka majina yao NEC!Ingekuwa ya wote wangekuwa na subira ila maamzi ya wote yawapeleke
Sasa wamejipeleka unataka chadema iwashangilie wanao jifanya ni wamiliki wa fikira za chadema
Katibu mkuu wa bunge au wa chadema?Wao wameitwa bungeni baada ya Katibu mkuu kupeleka majina yao NEC!
Wewe ni mtu mwema.Siasa siyo uadui.
Nakumbuka kamati kuu ya Chadema iliketi tarehe 27/11/2020 na kuwatimua chamani wanachama wake takribani 19 wote wakiwa ni akina mama.
Katiba ya Chadema inatoa muda wa siku 30 muathirika kukata rufaa endapo hajaridhika na maamuzi ya kamati kuu.
Leo ni tarehe 22/12/2020 hivyo muda unakwenda kasi sana.
Tunakumbushana tu.
Maendeleo hayana vyama!
Ni jambo jema.Siasa siyo uadui.

J J Mnyika!Katibu mkuu wa bunge au wa chadema?
Amina mkuu!Wewe ni mtu mwema.
Mkuu mnyika anakana juu ya hiloJ J Mnyika!
CCM viti maalumu vimejaa!Wasajilini huko CCM
Ulishawahi kuona mtuhumiwa anakiri haraka haraka mahakamani?Mkuu mnyika anakana juu ya hilo
Unataka kusema mnyika kawazunguka viongozi wa chadema pamoja na wanachama?