Nawakumbusha Halima Mdee na wenzake 18 muda wa kukata rufaa kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA unayoyoma!

Sina Hofu Wala Wasi Wasi Kuhusu Kiongozi Wa Wamama, Na Wenzake Wapo Salama
Ukiwa Ccm Nani Aseme Nini Ili Iweje? Halima Tulia Ccm Kule Ni Kivulini Utapata Yote Utakayo
 
Chadema ni ya wote!
Ya mashoga (marafiki) wote. Mdee na Bulaya hawawezi kufuzwa chadema kwa sababu ni mashoga (marafikia) sana. Labda Matiko na wengineo kwani wao sijawasikia marafiki zao. Lakini Mdee na Bulaya thubutu. Wao ndiyo kielelezo halisi cha 1wapo ya sera za chadema
 
Unaogopa watakuja kuchukua nafasi zenu huko nanyie muendelee kuimba pambio?

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Nyinyi mbona speaker wenu amesema ataendelea nao hats bila chama?
 
Ni pale chanjo ya covid 19 inapolazimishwa kuchanjwa kwa nguvu.

Wenyewe wameona hakuna umuhimu unateseka wewe kwann?
 
Wako bize kufuata nyayo za Askofu Rashidi kutengeneza video pendwa,wameona siasa imeshawatupa mkono wameamua kutumia vipaji vyao vingine maisha yasonge.
 
Wakina Halima kwa sasa ni kama ile stori ya mkono na Fisi....kuna anayetokwa mate akisubiri uanguke tu anyakue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…