Nawakumbusha Halima Mdee na wenzake 18 muda wa kukata rufaa kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA unayoyoma!

Huko ccm ndio kunawafaa,yani baba utopolo,mama,utopolo,watoto utopolo, wajukuu utopolo....huko ukiwa na akiwa zenyewe hubadilika tu unapopewa cheo.
Huyu utopolo sijui kakalia kitu kigumu anaharisha tu
.View attachment 1656798
Hii serikali yetu kila mtu ana utawala wake
Huyu awacharaze watu fimbo,
Huyu angoe pkate namba kwenye magari, huyu aseme ukikutwa hifadhi uuwawe, yaani mambo ni mengi
 
Tujulishe malsahi uliyo kuwa nayo kwa hao 19.
 
Walisha hahakikishiwa kulindwa ubunge wao kwa miaka yote 5 so hilo haliwapi shida, sanasana wanachofikiria ni kwenda mahakamani ili mahakama ibariki ,maamuzi ya spika na kuzuia maamuzi ya chama!
 
Sina Hofu Wala Wasi Wasi Kuhusu Kiongozi Wa Wamama, Na Wenzake Wapo Salama
Ukiwa Ccm Nani Aseme Nini Ili Iweje? Halima Tulia Ccm Kule Ni Kivulini Utapata Yote Utakayo
Hata laana pia inapatikana hukohuko.
 
Ester Matiko ametoa collabo na Aeshi..

Ambao hamjaipata nifuate inbox niwapakulie mzigo kama wote.
Rafiki naomba collabo ya Matiko na Aeshii. Hv kumbe wana mahusiano. Nimekupm umefunga.
 
Ndugai ana jambo nao.
 
Hayo makovid 19,hayawezi kurudi kukata rufaa,yanajua nini kitatokea,yameamua kuwa madanga ya kisiasa,wacha yakae hukohuko,ila kwenye siasa,yameishajichimbia kaburi.
 
Uchaguzi umekwisha na Chadema tumepoteza vita ya Uchaguzi Mkuu, sasa haya ni makovu tumeachwa ili yatuuwe.

Uongozi wa Chama unadhani tunaweza kupata suluhisho la hawa Wabunge bila maumivu.

Uangalifu unahitajika, kuna uwezekano suala hili la Wabunge likaharibu mahusiano na mustakabali wa uchaguzi wa wabunge wa kuchaguliwa kwa Wanawake kwa muda mrefu kuliko tunavyodhani.

Kutakuwa na kelele nyingi safari hii kina Mukya wakichaguliwa kuliko ilivyo zoeleka na kuonekana kama kitu kipya. Tusubiri tuone.
 
Kwanini usiwakaribishe CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…