Nawakumbusha Halima Mdee na wenzake 18 muda wa kukata rufaa kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA unayoyoma!

Rafiki naomba collabo ya Matiko na Aeshii. Hv kumbe wana mahusiano. Nimekupm umefunga.
Rafiki, kiukweli mzigo Sina. Ila habari zimezagaa kila kona kuwa wamelishana vya sirini.
 
Reactions: Ilu
Lengo ni kuwakilisha wananchi bungeni, hayo ya Uanachama watajua CHADEMA, mbona hadi leo hawajapeleka barua NEC ya kuwavua uanachama 😂, wanaogopa nini? Au CHADEMA wangeenda mahakamani kudai haki yao, saini imegushiwa wanasema. 😳Mbona Ruzuku wamechukua kama hawawatambui😳😳
 
Rafiki, kiukweli mzigo Sina. Ila habari zimezagaa kila kona kuwa wamelishana vya sirini.
Duuuh nilishajua napata furaha ya macho...Matiko nae ana kahistoria.
 
Ni kweli.wakikata rufaa itasaidia kupunguza mgawo wa umeme
 
Ukiona wako kimya Hadi mda huu jua wameinua miguu juu. Wanasubiria tu kuapishwa
 
Safari hii LAKUNDA HALINA UBANI.
Mmechoma udi, ubani, mpaka uvumba na manemane, imefika mahalo harufu ya maiti imevishinda vyoteee!!
 
Watakata rufaa wakati hakuna barua ya kuwateua?
hawa ndugai ndie anajua 'walikotokea' CDM haijui walifikaje ktk 'kamati ya ccm'
 
Chadema ni ya wote!
@johnthebaptist kama wanaipenda CHADEMA watakata rufaa, lakini wakikaa kimya ujue upo upande waliochagua. Watakua wanasikiliza kwanza ushauri kutoka kwa aliyewaambia atawalinda kwa nguvu zote. Tuwape muda wachague lililo jema.
 
hela ya CCM ukiila then ukawageuka aiseee, nafikiri hapa ndipo ugumu ulipo kwa hawa wadada - yule katibu mkuu aliyetimkia CCM aliwauza vibaya mno
 
Ilitakiwa wakikata hiyo rufaa waite press wajulishe Kila mtu?Kama sio, mtu unajuaje kama hawajakata rufaa
 
Wala hawana haraka wamehakikishiwa nafasi zao za ubunge na spika wa ccm
 
Hayakuhusu. Mbona kiherehere hivyo? Kilikoni?
 
Achana na siasa kijana utapasuka kichwa
Au unaingiza kipato hapo........[emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo tujumuike kwenye uzi wa medem na warembo wakali

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…