Nawakumbusha mashabiki wa simba

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Na wakumbusha kuwa leo tuna cheza na jezi yetu ya kiama nyeusi kwa hiyo msitegee kuwa tutapoteza hiyo ni taarifa ambayo nimewapa mapema
 
Na wakumbusha kuwa leo tuna cheza na jezi yetu ya kiama nyeusi kwa hiyo msitegee kuwa tutapoteza hiyo ni taarifa ambayo nimewapa mapema
Nawaombea Watani zangu Makolokolo wapumzishwe jamani.

Itoshe tu kusema wamekoma, wamejifunza na hawatalamba sumu tena kwa kuionja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…