Nawakumbusha mwaka tu ndio umebadilika changamoto ni zile zile

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Wakati mzuri wa kushauriana

wapo wanaofurahia Jan na wengine wameanza kulala jana bar nk

Nawakumbusha mwaka tu ndio umebadilika changamoto ni zile zile ulizotoka nazo hulo

Jifunze kutunza pesa kutumia pesa kwa heshima

Alldbest
 
Wakuu wa shule wanapiga push ups muda huuu

Hamna hekaya watapokea.

neno moja tu

ADA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…